CHUTAMA
chutama: translation
------------------------------------------------------------
[Swahili Word] -chutama
[English Word] crouch
[Part of Speech] verb
[Swahili Definition] kuinama; kuwa katikati ya kukaa na kusimama [Masomo 166]
[Swahili Example] alichutama chini ya yule kijana na kumkodolea macho mfululizo [Sul]
------------------------------------------------------------
[Swahili Word] -chutama
[English Word] squat
[Part of Speech] verb
[Swahili Example] aliona shida kutumia meko ya kuchutama na moto wa kuni [Ya]
------------------------------------------------------------