ANWANI
anwani: translation
[Swahili Word] anwani
[Swahili Plural] awani
[English Word] address
[Part of Speech] noun
[Class] 9/10
[Swahili Definition] maelezo ya mahali aishapo au mahali pa posta ambapo huenda kupata barua zake [Masomo, 73]
[Swahili Example] andika anwani ya barua; anwani ya mwandikiwa huandikwa juu ya bahasha [Masomo, 73]
[English Example] address a letter
------------------------------------------------------------